Hivi ndivyo gari huwa zinawaka moto

Akili za fesibuku...

Tena hata Fb huwa sipati comment kama hizi
Kwamba hujaona nimekushauri kuhusu kuleta ujanjaujanja kwenye kubadili fuse... Umeona hili tu...

Haya tatizo liko wapi...
Wajinga Kama hao haina haja ya kuwajibu unapoteza muda wako Tu kubishana na mpumbavu....
Kuna watu mafala Sana kazi Yao ndiyo hiyo ya kuwakatisha Tamaa wengine na roho za kimaskini
 
Hii huduma inafanyika hata kwa gari za zamani?..suzuki escudo old model

Aiseee kwa hii gari yako sina uhakika.

Ni gari za kimarekani tu ambao ndio walitangulia kwenye hii technology.

Gari zote za US kuanzia 1996 na zingine hata before hapo inawezekana kupima.

Gari za Japan kuanzia 96 mpaka 99 zingine inawezekana kupima zingine haiwezekani.

90% Kuanzia gari za mwaka 2000 inawezekana kupima, Sjjawahi kukutana na gari ya 2000 na kuendelea halafu haina port ya Diagnosis.
 
Kwahiyo ulitaka asijitangaze?
Huo ni utaalamu , sisi wenye magari tunahitaji watu na huduma kama hizi
Mkuu wapi nimesema asitangaze au kuna kiashiria gani kwenye comment yangu cha kwamba asitangaze? Naomba tutumie kiungo stahiki (kichwa) kwenye kufikiria na si vinginevyo wala mihemeko.
 
Akili za fesibuku...

Tena hata Fb huwa sipati comment kama hizi
Kwamba hujaona nimekushauri kuhusu kuleta ujanjaujanja kwenye kubadili fuse... Umeona hili tu...

Haya tatizo liko wapi...
Kusema hiyo ndiyo point muhimu ndiyo akili za Facebook? Pia umeuliza tatizo liko wapi kana kwamba mimi nimesema kuna tatizo, acha ukanjanja kwani unaharibu uzi wako mwenyewe. Umechambua vizuri na mwisho ukatangaza biashara yako. Ndiyo maana mimi nikasema kwenye tangazo la biashara ndipo point yako ilipo, sidhani kama umeleta hizo picha kutuburudisha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado una akili za kitoto.

Kwamba mimi nimeandika hapa ili niburudishe watu...

Niburudishe ili nigundue nini?

Ndio maana nilikuambia hizi akili za Fesibuku and I was right.

I rest my case.

Ngoja nitafute ignore button.
 
Hahahahahah hapo kutatua matatizo yote hayo ni aheri ulipie mke mahari uoe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na harusi kabisa!

Tukiwaambia gari zetu wamatumbi ni Toyota wanajitia ujuaji! Hapo Service tu ya vifaa vyote cost yake ni bora kununua IST tu! Niliwahi ona BMW 3 series inauzwa juzi kati et 4.5m na gari ni DPT imenyookaπŸ˜… sana nikajiuliza dah 4.5m for a Bmw kuna namna!
 
yes ilianza kama utani, kuna mlio nilikuwa nausikia kwa mbali mwishowe ikala kwangu
sema kwa spear za magari ya ulaya zinatesa tz ...
Sema sahizi utakuwa balozi mzuri sana kuwaasa vijana wenzio πŸ˜…! Mtu hajawahi kumiliki hata baskeli kaotea 15m yake anaagiza BMW kwa mbwembwe zote πŸ˜…!

Siku zote nashauri kama ndio unaanza kumiliki gari ni afadhali uanzie Toyopet πŸ˜…
 
Sema sahizi utakuwa balozi mzuri sana kuwaasa vijana wenzio πŸ˜…! Mtu hajawahi kumiliki hata baskeli kaotea 15m yake anaagiza BMW kwa mbwembwe zote πŸ˜…!

Siku zote nashauri kama ndio unaanza kumiliki gari ni afadhali uanzie Toyopet πŸ˜…
Hahahahaahaah mkuu wewe acha sema toyota wacha aendelee kupendwaa ...changamoto ya European car ukizoea huwez kutoka ..mama akifungua fweeezwaaa walahi country man inanihusu
 
Izo nimereplace juzi mkuu,,,izo fuse zilikuwa zimepigwa waya nyingi na kubwa balaa lkn nilikuwa nakula tu maisha na nimezibadili sio kwa sababu kulikuwa na tatizo kwa kweli wacha mjep awe mjep,,ila Nina swali mkuu naweza kufanya computer diagnosis kwenye starlet ep 82!?
 
Hahahahaahaah mkuu wewe acha sema toyota wacha aendelee kupendwaa ...changamoto ya European car ukizoea huwez kutoka ..mama akifungua fweeezwaaa walahi country man inanihusu
Hahahaha ukipata kale ka 2018 kako bomba balaa yaniπŸ˜…! Kana split rear doors!

Jana kuna mwamba nilikuwa nam tail ana 2.0T Quattro aisee ilikuwa fun kichizi people get crazy at night πŸ˜… on the Mandela road
 
Toyota never disappoints, usijaribu hili kwenye Merc, Beamer ama Audi! Utalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…