kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Weka kipaumbele katika maisha yako, kisha fanya kazi tii sheria za Nchi na heshimu wakubwa kwa wadogo.
Kisha njoo tupe mrejesho after one year.
NB usiwe muongeaji sana ukapoteza maana.
Kisha njoo tupe mrejesho after one year.
NB usiwe muongeaji sana ukapoteza maana.