Hivi ndivyo ilivyo. . . . .!

Nimekuelewa queenkami na nilimuelewa Eiyer pia, just wanted to be specific kwa aina hiyo ya upendo (mapenzi ya wapenzi aka mume na mke) coz huko ndiko ninapopata tatizo mimi.

Kuna tatizo gani "huko"?
 
Last edited by a moderator:
Aksante Eiyer
Hakuna kitu kizuri kama kumpenda adui yako/ au mtu asokupenda........................................... ndio.
 

Kaunga, pia shida kubwa ya wanawake wengi wanashindwa kuelewa kwamba upendo wa mwanamke na mwanaume ktk mapenzi ni tofauti kabisa. Upendo wa wanaume mara nyingi ni wa kujifunza wakati wanawake naturally wana upendo!
 
Ni kweli kabisa Eiyer naomba kuongezea kuwa na umfanyie mwenzio yale unayopenda nawe kufanyiwa!na isiwe vinginevyo(kuna watu wabinafsi sana aseee)
 
Last edited by a moderator:
upo juu ndugu,ni kweli yoote uliyoandika!anzisha darasa la mapenzi utavuna watu kama babu wa loliondo maana watu wenye kuhitaji shule ya mapenzi ni wengi sanaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…