Hivi ndivyo Jenerali Mwamunyange alivyowatuliza wana Kagera baada ya Rais Kagame kuanza fyokofyoko

Hivi ndivyo Jenerali Mwamunyange alivyowatuliza wana Kagera baada ya Rais Kagame kuanza fyokofyoko

More like, baada ya hii kauli Mwamunyange ndio akapotea kabisa kwenye public scene!!

Hivi nini kilimkumba huyu mzee, wenye kujua watuambie

Cc Pascal Mayalla Proved JokaKuu Chige
Jenerali Mwamunyange alistaafu kwa heshima baada ya kuhudumu kama Chief of Defense Forces (CDF) wa Marais wawili Kikwete na Magufuli.
 
More like, baada ya hii kauli Mwamunyange ndio akapotea kabisa kwenye public scene!!

Hivi nini kilimkumba huyu mzee, wenye kujua watuambie

Cc Pascal Mayalla Proved JokaKuu Chige
Mzee, umechanganya mafaili, si unaulizia kile kipindi cha mwanafunzi kusema "mpaka nimshike mkono ndo nitaamini..." sio?

Kijiwe cha kahawa wanadai, eti alichofanya Mabeyo, ndo alichosimamia Mwamunyange enzi zile, eti wanajazia kuwa, ili kumtoa kwenye njia ndo wakafanya hayo unayoyasema, kama ni kweli?

Mtaani, watu wanaongea sana, usiwasikilize, hakuna mtu yeyote yule aliyetaka kuongeza "miaka miwili", ni uvumi usiokuwa na tija kwa taifa. Ili iwe nini? Kama ni mikataba ya gesi kusainiwa usiku, na stori za abunuasi kuwa mtoto aokolewe na kuhakikisha mambo yako salama, asingehitaji miaka miwili zaidi, lazima chawa wapo....sawa, jamaa alitishia lakini si alitoka kundini, hakuwa tena tishio, chawa wangelinda maslahi....

Nikaishiwa hela, nilikunywa vikombe viwili nikaondoka zangu, sikujua hilo zoga liliishia wapi!
 
Tunaitaji kauli kama izo sometime kuwatisha, ukiwa kmy sana wata shika sharubu ata machopa yapite pite juu tu heshima iwepo
 
Jenerali Mwamunyange alistaafu kwa heshima baada ya kuhudumu kama Chief of Defense Forces (CDF) wa Marais wawili Kikwete na Magufuli.
Zile tetesi za sumu zilikua na ukweli au propaganda za JF tu.
 
Uko serious mzee? Au unadhani CDF ni muimba singeli bc kila muda umsikie?
Kwan mara yako ya mwisho kumsikia CDF Mkenda ni lini?
Mkuu kuna uzi humu ulizungukaga miaka hiyo ambapo Mwamunyange alikua haonekani in public hata kweye tafrija za kitaifa!! Ndio zikazuka tetesi za kupigwa sumu etc ila hazikuwa verified ndio maana nauliza wajuzi kama kuna lolote watupe info.
 
Shida ni Kagame sio raia wa Rwanda, kwahiyo maamuzi ya serikali izingatie sana, halafu vita sio yetu hakuna haja ya kujitia gharama
 
More like, baada ya hii kauli Mwamunyange ndio akapotea kabisa kwenye public scene!!

Hivi nini kilimkumba huyu mzee, wenye kujua watuambie

Cc Pascal Mayalla Proved JokaKuu Chige
Alipoteaje wakati alikaa na Rais Kikwete hadi akamaliza muda wake na kisha akaenda na Mwamba Magufuli? Baada ya kustaafu ulitaka awe roporopo kama Dk. Slaa?
 
Kwa sasa Kagame hana hamu wala habari na Tanzania.

Kagame anakomba ardhi yenye mali Congo.
 
Back
Top Bottom