Hivi ndivyo Mgombea Urais wa CCM anavyopitishwa

GT
Kikwete na Samia waliogopa nini. Unampitisha Mgombea uraisi kwa kusema unadhani tumekubaliana aha ha ha πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ undhani like seriously?

View attachment 3412364
Ulishaambiwa wahuni wanaiendesha nchi kihuni aliyoyafanya kikwete mbona ni kawaida kwake anaona ni sahihi kabisa ! Huyo mzee hii nchi anaibagaza sana
 
Yaani aliwe kichwa naye yupo mamlakani. Mama alishtuka yeye hata kama ni adui haachiwi Mungu akawakabili hapo hapo.

Ile alipiga counter attack dadadaadeki.
 
Au labda kila zama na kitabu chake?

Wanakoelekea Sisiemu, jaji Mtungi atawafutia chama hawa.
 
Kwani how vital hiyo step katika kuamua mgombea?? Na uungaji mkono mkubwa wa kinafiki na kichawa huko ccm ,ina maana kuna watu mle ndani wangeweza suggest au kuamua akatwe?
 
Wahuni tu wale, wanalinda maslahi yao, hofu yao akitokea ameingia mtu mwingine anaweza kuteteresha maslahi na mipango yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…