Hivi ndivyo mmoja kati ya wanafunzi wa kidato cha 4 alivyojibu mtihan wake wa kiswahili.

Hepatis B

Senior Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
193
Reaction score
155
[h=5]SWALI:- Eleza hatua za kuandaa MDAHALO.
Akiwa hajui maana ya mdahalo akajibu hivi-

KWANZA; unachukua mdahalo wako unauosha vizuri.

PILI; hakikisha mdahalo wako haujakomaa sana.

TATU ; bandika sufuria yako jikoni mkali kiasi.

NNE ; weka mdahalo wako jikoni kisha uache uchemke kwa dakika kumi hadi kumi tano .

TANO; mdahalo wako ukiwa tayari uepue.

SITA; mdahalo huu unaweza kunywa na kinywaji chochote...

@copy&paste#..[/h]
 
Hebu nipatie picha za ile michoro waliyochora hawa wanafunzi
 
Nae analalamika eti NECTA imewafelisha poa sio mbaya akwenda mbali sana na jibu
 
Nae analalamika eti NECTA imewafelisha poa sio mbaya akwenda mbali sana na jibu
lakini kama alikuwa haelewi au hajui hata huo mdahalo wenyewe ni nini kosa ni la nani?? pengine yeye hajawahi hata kusikia mdahalo ni kitu gani na kwa akili yake ya haraka haraka (unajua tena ukiwa kwenye pepa) na jinsi swali lilivyoulizwa (hatua za KUANDAA mdahalo) akajua pengine ni kitu kama chakula hivi...mi kwa upande mwingine simlaumu..inawezekana hakuwahi kabisa kufundshwa/kusikia kitu kinaitwa mdahalo! kuongea kiswahili si kujua kiswahili mkuu!!
 

Inasikitisha sana na kisha inachekesha kama jokes vile.
 
Kwa jinsi alivyojibu UWEZO ANAO!
tatizo ni kwamba hakufundishwa!
Hajui nini maana ya mdahalo!
Lawama zinawaendea waliopewa dhamana ya kumfundisha!
 
tujaribu kuwa karibu na watoto wetu hii itatusaidia sana kujua uelewa wao
 

Inawezekana ikawa kweli ila napata mashaka sana unaweza kukuta wengine wamepata hapo hapo ambako hawajafundishwa
 

mbavu zangu mie,oooh tate naneee!:-D:-D:-D
 
Kwa jinsi alivyojibu UWEZO ANAO!
tatizo ni kwamba hakufundishwa!
Hajui nini maana ya mdahalo!
Lawama zinawaendea waliopewa dhamana ya kumfundisha!

mkuu sidhani kama mwalimu anapaswa kubeba lawana kutokana na huyu mwanafunzi alivyojibu,tatizo la wanafunzi wa siku hizi wanakariri sana kiasi kwamba wakibadilishia kitu kidogo tu kwenye swali alilowahi kulisolve unakuwa umempoteza kabisa,pia siku chache kabla ya mitihani hulishana sana matango pori
 
mi siamini!!! ni swali la mtihani upi NECTA au,mbona hilo swali sijaliona???
 

Duu! kweli duniani kuna mambo.
 
 
Mzee wa Rula;Inasikitisha sana na kisha inachekesha kama jokes vile.More than jokes!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…