Hivi ndivyo Mtaki msaliti alivyoudondosha utawala wa Chifu Mkwawa

Tunashukuru kwa historia.. lakin kwa namna yoyote ile, mjerumani ambae kipindi hicho ndo super power ya Europe na dunia nzima, isingewezekana apigwe na mkwawa, mwenye vibunduki vya kuhesabu na vimizinga vya kuokoteza.. ni kujipa moyo tu
 
Attachments

  • VID-20210707-WA0019.mp4
    12.3 MB
Tunashukuru kwa historia.. lakin kwa namna yoyote ile, mjerumani ambae kipindi hicho ndo super power ya Europe na dunia nzima, isingewezekana apigwe na mkwawa, mwenye vibunduki vya kuhesabu na vimizinga vya kuokoteza.. ni kujipa moyo tu
km hakuwa tishio kwa wajermani walichukua fuvu lake kuweka kumbukumbu la nini?? Africa hii ni yeye tu walimkoma!!
Mizinga.mabunduki ya ajabu mengi siyo ujanja wa kushinda vita yeyote ile.
Idd amin alituzidi vifaa lkn yuko wapi? Kazikwa porini.
Waingereza walitushinda Elimu na vifaa vya kivita lkn tukapata uhuru kwa maneno tu.
 
Tunashukuru kwa historia.. lakin kwa namna yoyote ile, mjerumani ambae kipindi hicho ndo super power ya Europe na dunia nzima, isingewezekana apigwe na mkwawa, mwenye vibunduki vya kuhesabu na vimizinga vya kuokoteza.. ni kujipa moyo tu
Usa alishindwa mbaya Vietnam. Somalia alikimbia yeye!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…