HahahaHizo pisi Kali ni level tofauti na Hawa akina mama wa jf! Tuishini tu kikwetu kwetu.
HahahaAccount ulizotaja, 6 za kiume.
HahahaMoneytalk mmmh!!π€£ππ
Hebu waambie wakanushe kama siyo wao
Hao aliowataja sidhan kama wana uhalisia na waafrica maana wengi vipilipili kichwani
Hahaha umesahau na wengi mashangazi iliyojichokea π€£π€£π€£π€£Hao aliowataja sidhan kama wana uhalisia na waafrica maana wengi vipilipili kichwani