Hivi ndivyo nilivyofanya ili kuinuka baada ya kufilisika na kuanguka kabisa kiuchumi

Baada ya kusoma Mafundisho mazuri yaliyotolewa na mleta uzi (andiko) watu wakeegemea kwenye Siasa...sema wabongo hakika tumerogwa
 
Umeongea point kwa asilimia zote. Ila kasoro moja tu. Hiyo ID
Hiyo ID Yake imenifanya niamini jamaa ni chwa tu na mchumia Tumbo mtu hajamaliza awamu yake, hajaanza kampeni, hamjui kama Mungu atamwaacha au atamchukua kama Mwendazake
 
Umeelezea neno nidhamu (discipline) kwa namna ambayo ni narrow sana. Nidhamu ni pana: unavyoishi, unavyopanga na kutekeleza mipango yako, unavyointeract na kila kitu/mtu:

"Discipline is one of the most important personality traits in everyone's life. It refers to a set of rules and regulations which are to be followed while undergoing any task or activity."

Wewe umeongelea heshima ambayo pia ni sehemu ya nidhamu.
 
πŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…