cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu ukirudi njoo na matopetope nimeyaona hapo.....
Kwa bibi yako mko juu! Mpaka mna airport? Hongereni
hii picha kiboko, ni wapi hapa///
Hebu ukirudi njoo na matopetope nimeyaona hapo.....
ndo hivyo tena,
nasikia kwa bibi yako hata baiskeli bado ni vitu mnavyoahidiwa ktk kampeni.
Hebu ukirudi njoo na matopetope nimeyaona hapo.....
oooppss..... akhbari za huko sweatyyy... umenikumbuka kwa zawadi lakini?? nilikumiss ile mbaya wallah... lete storry..
🙂
za huku ni nzuri best,zawadi yako hata huitaji kuiulizia,wewe tena nisikuletee zawadi!asante kwa kunimiss,nami nilikumiss isivyo kawaida.
story zipo nyingi acha nipumzike kidogo kisha nitakupatia michapo yote shosti wangu.