Hivi ndivyo ninavyoweza kuwapa makundi wana JF

Nilishamtongozaga member humu dr namugari. Mwamba nilidhani ni mwanamke kwasababu alikuwa anajifanya demu halafu pisi kali kaweka picha. Hadi nilimuambia I love you akajibu I love you too baby. Miezi ikapita sijui alijisahau akabadilisha avatar picha na kugundua ni dume flani ana sura ngumu balaa. Asee nilimaindi kichiz.

adriz de mbusii
 
Michezo ya Kant Ombe
 
Breaking News:-
Baltazar Egonga hatimae aachiwa huru leo baada ya kukaa jela kwa miaka miwili
 
Aiseee 🙌🙌🙌

Bora jirudi zangu INSTAGRAM tu🙌🙌🙌🙌
 
Kuna wale ambao ni WADINYWA, na kuna WADINYA.

Mimi ni mdinya 😎.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…