Hivi ndivyo paka anavyoweza kusababisha mimba kutoka

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Daktari wa wanyama nchini Tanzania, Dkt. Obed Kiariro amedai kuna uwezekano mkubwa wa Paka anayefugwa majumbani hupelekea kuharibu ujauzito kwa binadamu endapo mnyama huyo hatopewa matunzo mazuri yanayostahili kwa wakati.

Dkt. Kiariro ameeleza hayo kupitia kipindi cha Supamix kinachorushwa na East Afrika Radio baada ya kuwepo matatizo mengi wanayoyapata jamii ya kike (wanawake) hasa hasa pale wanapokuwa wamebahatika kushika ujauzito na kwa bahati mbaya hutokea kuharibika bila ya kujua sababu za msingi kilichopelekea kupoteza ujauzito wake.

"Kuna ugonjwa tunaita 'toxoplasmosis' kitaalamu ugonjwa huu unatoka kwa Paka ambao unapelekea kutoka kwa mimba 'abortion', kama Paka hawatibiwi vizuri wala kuwepo na matunzo ya aina yeyote basi wanakuwa na ugonjwa huo na matokeo yake wanaambukia wanadamu. Unaweza ukawa na paka nyumbani unamtunza vizuri lakini huwezi kumzuia kwa namna yeyote ile kutokutana na paka wengine wanaozurura mtaani maana wakikutana tu wanaambukizana ugonjwa huo", amesema Dkt. Kiariro.

Mtazame hapa chini Dkt. Kiariro akielezea vizuri namna ya paka anayesababisha kuharibika kwa ujauzito (mimba).

Daktari wa wanyama nchini Tanzania, Dkt. Obed Kiariro amedai kuna uwezekano mkubwa wa Paka anayefugwa majumbani hupelekea kuharibu ujauzito kwa binadamu endapo mnyama huyo hatopewa matunzo mazuri yanayostahili kwa wakati.

Dkt. Kiariro ameeleza hayo kupitia kipindi cha Supamix kinachorushwa na East Afrika Radio baada ya kuwepo matatizo mengi wanayoyapata jamii ya kike (wanawake) hasa hasa pale wanapokuwa wamebahatika kushika ujauzito na kwa bahati mbaya hutokea kuharibika bila ya kujua sababu za msingi kilichopelekea kupoteza ujauzito wake.

"Kuna ugonjwa tunaita 'toxoplasmosis' kitaalamu ugonjwa huu unatoka kwa Paka ambao unapelekea kutoka kwa mimba 'abortion', kama Paka hawatibiwi vizuri wala kuwepo na matunzo ya aina yeyote basi wanakuwa na ugonjwa huo na matokeo yake wanaambukia wanadamu. Unaweza ukawa na paka nyumbani unamtunza vizuri lakini huwezi kumzuia kwa namna yeyote ile kutokutana na paka wengine wanaozurura mtaani maana wakikutana tu wanaambukizana ugonjwa huo", amesema Dkt. Kiariro.
 
Nimeifungua thread hii huku nikitetemeka kwa kudhan Mr Mshana Jr anahusika kwa namna moja au nyingine
 
Reactions: BAK
Nmeifungua thread hii huku nikitetemeka kwa kudhan Mr Mshana Jr anahusika kwa namna moja au nyingine
mshana jr njoo ulielezee jambo hili kiimani zaidi, why nyau and not kokoriko?
nyie mnaopenda ushirikina mtapata tabu sana katika maisha yenu
ukiona kitambaa cheusi tu mavi debe ukute we mtoto unaejiita ujiuji una hirizi kiunoni na kwapani dadadeki.
 
Daktari wa wanyama nchini Tanzania, Dkt. Obed Kiariro amedai kuna uwezekano mkubwa wa Paka anayefugwa majumbani hupelekea kuharibu ujauzito kwa binadamu endapo mnyama huyo hatopewa matunzo mazuri yanayostahili kwa wakati.

Dkt. Kiariro ameeleza hayo kupitia kipindi cha Supamix kinachorushwa na East Afrika Radio baada ya kuwepo matatizo mengi wanayoyapata jamii ya kike (wanawake) hasa hasa pale wanapokuwa wamebahatika kushika ujauzito na kwa bahati mbaya hutokea kuharibika bila ya kujua sababu za msingi kilichopelekea kupoteza ujauzito wake.

"Kuna ugonjwa tunaita 'toxoplasmosis' kitaalamu ugonjwa huu unatoka kwa Paka ambao unapelekea kutoka kwa mimba 'abortion', kama Paka hawatibiwi vizuri wala kuwepo na matunzo ya aina yeyote basi wanakuwa na ugonjwa huo na matokeo yake wanaambukia wanadamu. Unaweza ukawa na paka nyumbani unamtunza vizuri lakini huwezi kumzuia kwa namna yeyote ile kutokutana na paka wengine wanaozurura mtaani maana wakikutana tu wanaambukizana ugonjwa huo", amesema Dkt. Kiariro.

Muungwana
 
Paka tumeishi nae karne na karne huo ugonjwa kaupata lini?
Usiwe mbishi naumwa toxo mm ni shahidi hapa nilipo,, ni mbaya kuliko unavyodhan inaambukiza mpka kwa mama kwenda kwa mtt sijui nn hatima ya huu ugonjwa kwangu
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…