Senator Sonko sasa hivi lazima wamsikilize kwa makini maana ni mtoto wa mjini, tunakumbuka Sonko aliwapatia taarifa vyombo vya usalama wa nchiya Kenya kuwa kuna watu wana mpango wa kufanya shambulizi ktk Mall alitonywa na raia a mtaani, lakini wakampuuza mtu wa watu-mtoto wa mjini Sonko kuwa taarifa zake siyo za kutiwa maanani ikatokea ya Westgate Mall. Sasa hivi lazima wamsikilie kwa makini Mh. Sonko ukizigatia naye ni mdau mkubwa wa biashara ya usafiri wa 'matatu'.