Hivi ndivyo Sen. Sonko anavyoongoza mkutano wa maafisa wa usalama

Its no wonder the security situation in Nairobi is under siege!
 
Hiyo whiskey au macho yangu?
 
Sasa kama His Excellency anaonekana na hangover all the time kuna shida gani kwa Sonko kuweka whisky mezani? kama illicit brew zinauwa Wakenya day and night kuna shida gani kuweka whisky (not illicit)? BTW how comes illicit brew in Kenya zinauwa watu wanaweka nini? Mbona TZ siskii watu wakifa kama kuku though kuna watu wanauza gongo? It is high time those illicit brew peddlers in Kenya to visit Tanzania and learn how to make those stuffs for the sake of at least saving people's lives and vision. So many people are turning loosing sight in Kenya if not dying!

lawmaina78, waltham, Bantugbro, Ab-Titchaz, Dhuks, mwitaz, livefire, Nairoberry, Koborer, Askari Kanzu,lawmaina78,mwathai,Ngongo, kadoda11, nomasana, NairobiWalker, Wacha1,Kiranga, Koba,Ndahani,Candid Scope,FaizaFoxy,The Conquerer, EMT, MziziMkavu, CattleRustler EngineerLMG, Frank quails,Gulioni,jolyta,Jungumawe,Sinister,Bulldog
 
Senator Sonko sasa hivi lazima wamsikilize kwa makini maana ni mtoto wa mjini, tunakumbuka Sonko aliwapatia taarifa vyombo vya usalama wa nchiya Kenya kuwa kuna watu wana mpango wa kufanya shambulizi ktk Mall alitonywa na raia a mtaani, lakini wakampuuza mtu wa watu-mtoto wa mjini Sonko kuwa taarifa zake siyo za kutiwa maanani ikatokea ya Westgate Mall. Sasa hivi lazima wamsikilie kwa makini Mh. Sonko ukizigatia naye ni mdau mkubwa wa biashara ya usafiri wa 'matatu'.
 
Naona huyo afande aliyekaa hapo kulia anaikodolea chupa ya Johnnie Walker badala ya kumsikiliza Sonko. Kazi ipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…