HEHEHEHE!mimi nimelipenda angalizo tuTendo la ndoa kwa wanandoa katika makabila tofauti huombwa kwaviashirio tofauti:
''Mchagga"........'We mama Haika, uko wapi? Ntaacha!!!
"Mkurya"..........'Rara chini nikurenge"
"Mhaya"..........."Mama Koku if you are ready twende tuka-perform"
"Mnyakyusa"....."Findu fyangu we obhokela
"Mpare" ..........."Mama Foibe thou nikakudenge"
"Msukuma".."Mama Kabula twendee tukhalimege litonge"
"Mjaluo"..........."Twendege tukasukumane"
"Mmasai".........."Mama Yeyoooo nataka ile namesa mwensake saa hii"
Natamani kujua Tanga Line,Wanyamwezi na Dengereko wanaombaje gemu kwa wake zao?
Angalizo: Hii ni kwa wanandoa tu!!
Dah ! sore nimeingia choo cha kiume.Natoka sasa hivi.
kwani wewe huwa unatishia kususa? eti nitaacha......wakati mtu mwenyewe siku hiyo unarudi saa 12, umebeba matunda, safari za jikoni haziishi, mara ooh nasikia harufu ya misosi unapika nini vile, mara unashika kiuno ya mamsapu kidogo, mara unapiga makalio yake kibao!
yote hayo maandalizi tu.........halafu ususe hiyo kitu inamesa mensie weeeee!!
HAHAHAHA!ngoja aje hommie NL aitolee maelezoIli mradi isiwe ili ya niangusage beee!
Kaka mkuu haikuwa maana yangu kuwa niko kijasiriamali zaidi,hapana hata Kimapenzi zaidi nako nipo nipo.ila tu Tatizo ni lile ANGALIZO;Kwa wenye ndoa tu.sio kila muda ni ujasiriamali zaidi,
kuna mida mingine ni ya kimapenzi zaidi.
Ya nini sahizi? hainihusu mie bado mtoto.Wakati ukifika nitauliza.Kule kwenu huwa wanasemaje? Hebu kajaribu kumuuliza bibi yako!
kwa hiyo kila siku mnatafuta mtoto?.tehe tehe!!baba ........... si unaona mtoto kakuwa?twende basi tukamtafutie mwenzie wa kucheza nae
Kumbe bado kuolewa? Ngoja ni do the needful!Kaka mkuu haikuwa maana yangu kuwa niko kijasiriamali zaidi,hapana hata Kimapenzi zaidi nako nipo nipo.ila tu Tatizo ni lile ANGALIZO;Kwa wenye ndoa tu.
Hehehe! Hilo ombi lazima litakuwa la mchana!!baba ........... si unaona mtoto kakuwa?twende basi tukamtafutie mwenzie wa kucheza nae
Hahahaha! PJ ngoja akuje kuthibitisha!WANYAKYUSA ''...nungweeee?!TUWUUKE NUNGWE...!tuwuke tukin....oreππ
Hahaha! Kumbe ndo maana prezidaa wetu mambo flani.........πππ!!!!!!!Wakwere wao saa yoyote tu huwa mzee aningia ndani anasema
mama cheusi.......hebu njoo mara moja.
mama akisikia hivyo tu, hata kama kuna maharage jikoni, anayatoa kwanza, coz anajua mzee anataka chakula yake.
na si unajua mzee msuli, mama kanga moja, kwa hiyo hakuna shida kusagula.
kwa hiyo kila siku mnatafuta mtoto?.tehe tehe!!