Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 442
Amini amini nawaambia; yeyote atembeleae jukwaa hili hatauona ufalme wa mbinguni! by Jesus.
Amini amini nawaambia; yeyote atembeleae jukwaa hili hatauona ufalme wa mbinguni! by Jesus.
Amini amini nawaambia; yeyote atembeleae jukwaa hili hatauona ufalme wa mbinguni! by Jesus.
Hapa nasubiri ganzi kwa maana najiandaa kunyofoa jicho langu la kuume lililoona haya manake ni kheri kupoteza jicho moja kuliko mwili mzima kuteketea motoni...by Jesus.du kumbe na wewe utausikia tu
vitakudodea, shauri yako! we unataka mambo ya "njoo tu-perform" wakati simple nd clear "nti unakuja!"Hahaa huyo mpemba kanichekesha sana
Mimi kwa style hiyo sikupi ng'o
Yani unaomba kama msosi??
Bila kuniandaa??