Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

wafipa ni noma zaidi!MWANAMKE kila akiamka anakuta kalowa.....!jamaa ni washirikina hadi kwenye tendo la ndoaπŸ˜€πŸ˜€
 
si mpaka akizaliwa ndo watu upumzika kidogo kama miezi au?
Hehehehe! Inategemea n'tu na n'tu! Kuna wengine wanajifungua leo wiki ijayo unasikia "Mume wangu siku hizi umepata mwanamke mwingine?"

Shughuli inaendelea kama kawa!
 
Sina imani na online husband!Alafu nadhani unafahamu kuwa mimi ni SANA(single and not available)
najua unatania tu hapo kwenye red!halaf wewe kwa mataniπŸ˜€πŸ˜€
 
wafipa ni noma zaidi!MWANAMKE kila akiamka anakuta kalowa.....!jamaa ni washirikina hadi kwenye tendo la ndoaπŸ˜€πŸ˜€
Hahahaha! Kiongozi nimecheka kwa sauti kubwa sana! Dah! Kwahiyo wale jamaa wanaweza kukutafunia mshikiz bila wewe na mshikiz kujua! Nikipata nauli ntaenda Ufipani........πŸ˜€πŸ˜€!!!
 
najua unatania tu hapo kwenye red!halaf wewe kwa mataniπŸ˜€πŸ˜€
Nachokupendea siku hizi umefaulu kusoma katikati ya mistari.............. Senksi fo zis yuzifuli posti!
 
Hahahaha! Kiongozi nimecheka kwa sauti kubwa sana! Dah! Kwahiyo wale jamaa wanaweza kukutafunia mshikiz bila wewe na mshikiz kujua! Nikipata nauli ntaenda Ufipani........πŸ˜€πŸ˜€!!!
hehehehe!wale hawafai kiongozi!kama unabisha uliza wenyeji!adivataizi lao wale ni hatari kwelikweli!
 
wafipa ni noma zaidi!MWANAMKE kila akiamka anakuta kalowa.....!jamaa ni washirikina hadi kwenye tendo la ndoaπŸ˜€πŸ˜€
Nimeiondoa senks yangu. Jamani ushirikina wa Tanga na bagamoyo ni kiboko.swanga ni kwema tu.
 
hapo umeonyesha uzoefu na ukomavu wa hali ya juu. asante mamaa.
Kiongozi nakusubiri umwage maneno yako hapa!! Unaombaje mambuz kwa mai waifu wako?
 
Wadau, ukiachilia na jinsi ya kuomba kwenye makabila, wenye ndoa ambao ni mmoja wao ni mchungaji wa kanisa la kiroho inakuwaje???
 
Nimeiondoa senks yangu. Jamani ushirikina wa Tanga na bagamoyo ni kiboko.swanga ni kwema tu.
Charity please do the needful......

Tunakusubiri kwa hamu hapa!
 
wamasai ni washenzi zaidi!kwanza wamehalalisha KUSHEA hadi wake zao....!wale huwa hawaongei sana.
MFANO HAI:
tukiwa kwenye treni maeneo ya ifakara walipanda wamasai tunakuja mjini.masai na mkewe waliona watu wanajinunulia vyakula njiani wananeemeka.mmasai alimfuata TIITII wa behewa na kumuuliza kama na yeye ANARUHUSIWA KULA CHAKULA!tiitii aliposema ruksa...!jamaa alirudi kwenye kiti na kumsaula mkewe AKAANZA KULA CHAKULA!.......unajua kilitokea nin?
 
Wadau, ukiachilia na jinsi ya kuomba kwenye makabila, wenye ndoa ambao ni mmoja wao ni mchungaji wa kanisa la kiroho inakuwaje???

Roho wa Bwana amenituma kuwa muda huu sasa tutaenda kushiriki tendo takatifu. Ameeeen? Haya mama njoo tuutukuze utukufu wake.
 
Mama yeyoo alipata habari yake............ The rest labda mimba, huwezi jua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…