PreGE2025 Hivi ndivyo Tone Tone inavyotikisa Mikutano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Kitendo cha chama hiki kushirikisha Watu wote kwenye jambo lake ni silaha halisivya mapambano.

Angalia hii

Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha Godbless Lema na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha Boniyai.

Tunaendelea kutunza kumbukumbu.

Mpaka sasa Mkoa wa Arusha ndiyo wanashikilia rekodi ya kuchangia zaidi tonetone mkutanoni ,kiasi cha Tsh 1,335,000/=

Leo mkoa wa Kilimanjaro, Moshi wameshika nafasi ya pili kwa kuchangia tonetone kiasi cha Tsh 1,095,000/=

N.B
Kama kamati tumekubaliana kila mkutano tunamtumia M-Pesa msajili Mzee Francis Mutungi kiasi cha Tsh 30,000/= ya vocha aonje matunda ya tonetone kwa kusaidia kuhamasisha wananchi kutuchangia mikutanoni.

Your browser is not able to display this video.
 
Naskia bado mpaka sasa yule Paparazi wenu bado yupo Dodoma kumtafuta yule jamaa aliyemtishia maisha padri ili ampige picha mana mpaka sasa hakuna chombo chochote cha habari kilichopata picha yake 😂
 

kwa mwendo huu 🤣 🤣 🤣 , kutoka kupokea mil 150 kila mwezi mpaka...
 
Safi sana ,tone tone mitano TENA.
 
noona mmeamua kufanya siasa za chaka 2 chaka
 
Fanyeni na usajili wa wanachama wapya papo kwa papo na wapeni kadi kabisa.
 
Good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…