Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

.
 
Poleni sana kwa kuliwa pesa zenu inaonekana aina biashara mliokuwa mwaifanya ni kama karata ya pesa au kokoro (die). Ila mlituchosha sana na hiyo FOREX yenu humu jukwaani
 
Duuuuu poleni sana maana jamaa alikuwa na maneno matamu sana ambayo yatakufanya ujione upo sayari ya utajiri.
Sasa kuna kale kamsemo eti kuwa Early Bird......................lakini mie nikasema Early Adopters kwangu watakuwa sawa na makuruta wanatangulizwa vitani kujua ngome kuu ya maadui. Hayawi yamekuwa, guys No short in life, bora Burmese 500,000 kwenye BIKO kwa jero jero ambayo haina maumivu makali unaweza tokelezea na M10. Otherwise nikalime tu, poleni wahenga
 
Kwa hiyo sisi tumekuwa Kama wacambodia nini?
 
ndio ukomavu wenyewe huo, kama umeweza kujua kama brokers wanawaingizia hasara basi ni hakika umeanza kuielewa vizuri forex.

Pole sana...ni wakati wa kuanza kusimama mwenyewe ss na kuchagua njia za kupita.
 
At the peak ya haya mambo niliandika mada ya uchambuzi kuhusu forex.. Sikuwa na upande bali niliandika kama uchambuzi... Dah siisahau ile mada niliandamwa mno huku nikiambiwa najua nini ni afadhali nibaki na matunguli yangu mambo ya forex niwaachie wajuzi... Mwishowe mada ikawa executed...! Sikukubali nikapambana mpaka ikarudishwa... Wale ndugu sio nao ni wahanga!?
 
ndio ukomavu wenyewe huo, kama umeweza kujua kama brokers wanawaingizia hasara basi ni hakika umeanza kuielewa vizuri forex.

Pole sana...ni wakati wa kuanza kusimama mwenyewe ss na kuchagua njia za kupita.
Shukrani mkuu! Kwa sasa sijui ni nani ataweza kuniingiza mkenge kwenye hii Forex.

Nimeiva! Something that doesn't kill you it can only makes much you stronger.
 
Niliiona mpwa ile mada yako. Ilikuwa murua sana.

Kwanza akina nani nao ni wahanga mamod au vipi wasije kufuta na hii wakapoteza zaidi watu.
 
Kwa hiyo sisi tumekuwa Kama wacambodia nini?
Hahaaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hapana brother....imekuwa kama movie amazing ya kupata hyperlife ndani ya six months. Ndo maana nasema life has no shortcut, nafikiri hata ukipata fursa ya kuongea na matajiri wakubwa duniani akina Bill Gate, Jac Ma, na wengine wengi hawakupata utajiri wao kirahisi tunavyofikiri na ndani ya muda mfupi hata kidogo, never and ever. Life is the trend of events with ups and down, no smooth road tusidanganyane. No sweat no sweet in simple words.
 
Munufaifa utakuwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…