Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Mkuu huo uzi unaitwaje niusakue...!! nione jins ulivyotema madini watu wakakutolea nje
 
jamaa muongo huyu hujawahi pata loss hiyo Forex imekua ya mjomba ako
 
Mitanzania ndivyo tulivyo. Kuna mifuasi huielezi kitu mbele ya Ontario, Jiwe au Mboee.. inashabikia watu badala ya facts! Pumbavu kabisa
 
Kwendraaaaas
 
Group lingine la ontarion

 
D9 ni zengwe Forex haina shida kama nikivyoeleza tatizo ni kwa wale ma agents wake ndio wamejaa ukatili na tamaa mbaya.

Nakushauri jifunze Forex Sio mbaya...D9 kitaalamu inaitwa ponzi scheme huu ndio utapeli mkubwa.
Ili upate pesa lazima hisani ya mtu ihusike eti?
Yaani mtu anatafuta fedha, wewe umezipeleka hela halafu unataka mtarazaki akuhurumie asizichukue?!!!

WANAOBETI WAKO SALAMA ZAIDI
 
Not true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…