Hatua ni hatua tu hata km ni moja kwa sababu zifuatazo:-
1.Kumeongezeka uwekezaji wa fedha. Leo hii kila timu ya ligi kuu inapata kiasi cha takribani mil.500 kwa mwaka. Changanya na zawadi ya bingwa mil 500 na zawadi zingine.Huu si uwekezaji mdogo.
2. Kuboreshwa kwa baadhi ya viwanja. Leo hii viwanja vya Kaitaba,Namungo,Azam Complex,na Dodoma vimewekwa taa na pitch za bandia. Hili si hatua ya kubeza.
3. Kuongezeka kwa wadhamini km sport pesa,NBC n.k
4. Kuongezeka kwa idadi ya timu toka 2 hadi 4 kwenye mashindano ya kimataifa.
Kwa level za nchi zetu ukilinganisha na wenzetu wanaotuzunguka,sisi tumepiga hatua.