LGE2024 Hivi ndivyo Tundu Lissu alivyozindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa huko Tarime

LGE2024 Hivi ndivyo Tundu Lissu alivyozindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa huko Tarime

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hakukuwa na namna yoyote ya kuokoa ccm zaidi ya kuwaengua Wagombea wa Chadema, Hongera sana Mchengerwa, Uliona mbali.

Hebu angalieni hii

Screenshot_2024-11-21-14-40-45-1.png
Screenshot_2024-11-21-14-41-03-1.png
Screenshot_2024-11-21-14-41-11-1.png
Screenshot_2024-11-21-14-41-19-1.png
 
Ila hiki chuma Mungu azidi kukilinda naimani one day hata asipokuwa yeye ila watakuja kusoma historia yake watoto wetu na huu ndio mfano nitakuja nawafundisha wanangu
 
Habari hii iwafikie chawa wote waliofikia hatua ya kumtakia mema TAL ili aanzishe chama chake badala ya CDm
?
 
Back
Top Bottom