Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 21, 2024 #1 Hakukuwa na namna yoyote ya kuokoa ccm zaidi ya kuwaengua Wagombea wa Chadema, Hongera sana Mchengerwa, Uliona mbali. Hebu angalieni hii
Hakukuwa na namna yoyote ya kuokoa ccm zaidi ya kuwaengua Wagombea wa Chadema, Hongera sana Mchengerwa, Uliona mbali. Hebu angalieni hii
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 21, 2024 Thread starter #2 Mungu ibariki Chadema
engine rock JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,379 Reaction score 1,394 Nov 21, 2024 #3 CCM manyanga'u
S sunak90 Senior Member Joined Jan 17, 2024 Posts 125 Reaction score 300 Nov 21, 2024 #4 Ila hiki chuma Mungu azidi kukilinda naimani one day hata asipokuwa yeye ila watakuja kusoma historia yake watoto wetu na huu ndio mfano nitakuja nawafundisha wanangu
Ila hiki chuma Mungu azidi kukilinda naimani one day hata asipokuwa yeye ila watakuja kusoma historia yake watoto wetu na huu ndio mfano nitakuja nawafundisha wanangu
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 Nov 21, 2024 #5 Habari hii iwafikie chawa wote waliofikia hatua ya kumtakia mema TAL ili aanzishe chama chake badala ya CDm ?
Habari hii iwafikie chawa wote waliofikia hatua ya kumtakia mema TAL ili aanzishe chama chake badala ya CDm ?