Kwa elimu yetu ya hapa Tanzania soma vyuo ambavyo vina network kubwa ya kukuongezea uwezekano wa kupanua goli la oppurtunities (Ajira, Promotion maofisini, Scholarships, Grants, n.k) hata kama huna connection.
haya mambo ya kuwa nondo ,kuiva, kujisifu chuo kina elimu ngumu ni hayana uzito, mambo ya unondo waachie wahindi. wazungu, wachina, n.k. Wanaoweza kutegemea elimu zao kufanya ubunifu, kufanya projects, kuanzisha start ups zinazofanikiwa, n.k.
Kwa waliosoma vyuoni kuna kujuana kwa kusoma chuo kimoja hata kama moja kajitimu mwaka 1980 na mwengine kajitimu mwaka jana, Uhusiano huu unaitwa "Alumni" Ndio tunakuja kwenye point ya kusomea chuo chenye Network pana ya Alumni hasa kwenye top positions mfano wakuu wa mashirika, taasisi, Wizara, n.k.
Hivyo basi nashauri usome vyuo vyenye probability nzuri ya kukupa ajira chuo cha kwanza kikiwa UDSM kwasababu karibu 70% ya viongozi wa taasisi na mashirika wamesoma hapa na huwa hawasemi lakini kuna upendeleo flani wanawapa wadogo zao wahitimu wa udsm kwenye ajira na fursa nyinginezo kama scholarships, grants, n.k. Ukitupia jicho vyuo vyote hapa nchini utawakuta Lecturers wengi sana ni wa udsm.
Vyuo vingine navyoshauri ni kama Mzumbe na Udom, nao wameweza kuweka watu kadhaa kwenye top system, hivyo network yao sio haba. Nimeshuhudi kuna dogo aliwahi kupata kazi na wenzake wa wa chuo moja wapo, Ni kwamba kuna Human Resource officer wa kampuni flani alipewa jukumu la kusimamia zoezi la ajira, Yeye akaenda kwa wadogo zake waliosoma chuo kimoja kuwaasa wachangamkie fursa yeye atawapitisha, Hawajuani lakini wameunganishwa na network ya kusoma chuo kimoja.
Ukishindwa hapo nenda vyuo vyenye network kubwa kwenye fani unayosomea mfano sayansi nenda DIT au MUST, kozi za biashara nenda TIA au IFM, Kodi nenda chuo cha TRA, n.k.
Sijasema kwamba wanafunzi wa vyuo vingine hawapati ajira, NO ! Kuna wanafunzi wamesoma vyuo vya kawaida wana ajira kwenye vitengo vizito huku waliosoma vyuo kama Udsm wanasota mtaani, Main point ni kwamba ukisoma vyuo vyenye network pana upo more likely kubahatika kupata ajira, Promotion, scholarships, grants, etc.
Hayo mambo ya unondo weka mbali kabisa, wanafunzi hujisifu wapo nondo lakini mwisho wa siku wakihitimu hawawezi kutumia unondo huo kujitegemea kubuni vitu au kufanya projects za maana kwasababu elimu ya bongo ipo nyuma sana katika ulimwengu wa kisasa.