Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Huu ni mwendelezo wa Uzi unaolenga Kufahamisha mbinu mbalimbali za mfugaji wa samaki kuweza kufanikiwa katika hii fursa inayohitaji umakini sana kama unahitaji kupata faida.
Mada iliyopita, nilizungumzia mambo mbalimbali yanayomfanya wafugaji wengi wa samaki kushindwa kupata faida ingawa ufugaji wa samaki ni fursa kubwa sana inayoweza mpa mfugaji kipato kikubwa sana.
Moja ya Mambo niliyoeleza ni kuhusu vifaranga bora. Nilieleza kwa ufupi umuhimu wa kupata vifaranga bora na sio bora vifaranga. Hapa ndipo wengi wanapoanzia kushindwa. Na hii inatokana na kutokuwepo na Certified hatcheries hapa Tanzania ukilinganisha na nchi za wenzetu kma Kenya na Nigeria.
Wafugaji wengi hasa wanaoanza wamekuwa wakiuziwa mbegu zisizofaa katika ufugaji.
Leo napenda niongelee kuhusu mbegu ya kambale pekeake.
Inabidi itambulike kuwa kambale huwa hazai katika mazingira ya kufugwa. Hivyo imekuwa ikiwalazimu wataalamu kutengeneza hatcheries za kuweza kuzalisha kambale artificially. Hii technologia wengi wamekuwa hawafanikiwi na hata baadhi ya instutution za fisharies hapa Tanzania zimekuwa zikishindwa kufanikisha hili zoez hasa tokana na High mortality late ya frys. Hivyo basi, Kutokana na ugumu katika zoez la kuzalisha vifaranga vya kambale, wengi ( hasa wanaojiita wataalamu wa ufugaji samaki) wamekuwa wakichukua vifaranga mitoni na kuuzia wafugaji.
Nilieleza hasara za vifaranga vya mitoni. Kwa ufupi: Ni kuwa wanakuwa wamechanganywa species na hata age. Matokeo yake ni kuwa kutakuwa na species zinazokuwa na zisizokuwa. Na kutofautiana age nako husababisha high cannibalism.
Nimekuwa nikipigiwa simu na hata kukutana na wafugaji waliopata hasara ya namna hii. Yan unakuta kafuga miez 5 lakini 80% ya samaki wake hawajafika hata 100g.. na hili tatizo linaongezeka kwa kasi kadiri wanavyoongezeka wanaojiita wazalishaji wa samaki.
Naomba leo nitoe ufafanuzi kwa kina ili mfugaji aweze tambua mbegu sahii ya kambale.
Katika picha hapo juu ni aina ya kambale wasiokuwa na hawafai kwa ufugaji. Hawa hata ufuge miaka yote hawezi fikisha 150g. Wapo wa aina mbili, wale weusi kabisa na wengine nweusi uliofifia au rangi ya ugoro. Hawana mabaka mabaka.
Hawa wanapatikana sana kanda ya ziwa ambako hutumiwa na wavuvi kama chambo cha kuvulia sangara. Hutolewa kwa wingi Uganda, kagera, Tabora, Morogoro na Ruvu.
Hii mbegu inapatikana kwa wingi na kirahisi misimu yote kutoka mitoni. Na ndyo asilimia kubwa ya wafugaji wanaouziwa bila kujua.
under modification........
Nashindwa kuendelea kuedit hii post sababu nikipost picha inakataa na kusema "need forum Id"