Kufuga kuku wa kienyeji ni kurudi nyuma zaidi.
Cha msingi ni kupata kuku chotara kwa watu sahihi .
Nakuelewa kuliko maelezo.Ahsante kwa swali zuri. Iko hivi hayo makumpuni makubwa wao huwa ndio wenye parent stock na hawawezi kukuuzia na ilitokea wanakuuzia basi huwa ni kwa kukuuzia kama nyama na si vinginevyo wanafanya hivyo kwa sababu ya kwamba ukipata huyo jogoo wa parent stock na ukienda kuwachanganya na kuku wako basi kuku wako watakuwa na uwezo mkubwa wa uzalishaji hivyo wanaliepuka hilo kwa sana maana wataua biashara yao.
Hivyo hao parent stock wakizeeka majogoo yote huchinjwa na hapo hufuatiwa na matetea ya parent stock baada ya siku 7~10 maana kwa siku hizo mayai yote ambayo ni fertilized yanakuwa hayapo tena.
Swali la pili, Makampuni tajwa hapo juu hayana second generarion bali wana 1st generation ambao ndio wanawauzia nyie ili nyie mkapate nyama au mayai pakee na sio kupata mayai na kuyapeleka hatchery kwa ajili ya utotoleshaji hivyo kuishia kupata second generation ambayo kwa performance inakuwa iko chini mno.
Kwa mfano. vifaranga wa 1st generation wa kuroiler na sasso wanaweza kukupa mayai 250 kwa mwaka lakni hao wa second generation wataishia kukupa mayai kati ya 80 mpaka 100 ambapo iko chini mno.
Na kwa upande wa nyama 1st generation anaweza kukupa kilo 1.8~ 2.2 za nyama kwa siku 56 tu wakati 2nd generation wanuwezo wa kukupa kilo 0.5~0.7 za nyama kwa siku tajwa hapo juu.
Siri kubwa ya kuku hawa ni kuwa kadli kizazi kinavyoshuka zaidi ndivyo performance iko chini mno...
Sua was my Home of excellence, niko katika hii industry ya kuku kwa muda nimeona jinsi wazee na wamama wastaafu wanavyopigwa hela na wahuni hapa jijini.Hiki ulichoandika hapa nimekithibitisha SUA!!
Nilienda tu kujifunza kuhusu kuku!
MIONGONI MWA NILIYOSIKIA NI HILI ULILOANDIKA HAPA!!
exact the same!!
Mpk nikakumbuka hii thread!!
Sure...YANI HAPA NAPIGA TIKI YOTE ULIYOANDIKA NDO NILIAMBIWA!!
KUKU WA KIENYEJI MPK AFIKE MAHALI PA KUUZWA KWA 25,000 SI CHINI YA MIAKA MIWILI!
NA HATAZIDI KILO 2
KUKUNWA KIENYEJI ANALALIA KWA ASILI!
HATA UKIMTOTOLESHEA MAYAI, MWILI WAKE UNACHUKUA MUDA TENA KUANZA KUTAGA TENA!!
Yani nimejifunza kitu cha tofauti sana! SANA SANA! ambacho dah! Sidhani kama watu wanajua hii information gap inavowaumiza!
Umefanya jambo Jema sana. Pia usisahau ku share information kwa marafiki pia utakuwa umewasaidia kwa namna moja ama nyingine.yani nimejifunza kitu cha tofauti sana!
SANA SANA! ambacho dah! Sidhani kama watu wanajua hii information gap inavowaumiza!
NILIKUWA NIMESHAWEKA ORDER YA VIFARANGA KWA MTU! Mbona nimeshahairisha , nimejisubmit Silverlands , acha nisubiri hata miezi sita! NTAFUGA TU, UFUGAJI WENYE TIJA THOUGH!
YANI HAPA NAPIGA TIKI YOTE ULIYOANDIKA NDO NILIAMBIWA!!
KUKU WA KIENYEJI MPK AFIKE MAHALI PA KUUZWA KWA 25,000 SI CHINI YA MIAKA MIWILI!
NA HATAZIDI KILO 2
KUKUNWA KIENYEJI ANALALIA KWA ASILI!
HATA UKIMTOTOLESHEA MAYAI, MWILI WAKE UNACHUKUA MUDA TENA KUANZA KUTAGA TENA!!
Ahsante kwa swali zuri. Iko hivi hayo makumpuni makubwa wao huwa ndio wenye parent stock na hawawezi kukuuzia na ilitokea wanakuuzia basi huwa ni kwa kukuuzia kama nyama na si vinginevyo wanafanya hivyo kwa sababu ya kwamba ukipata huyo jogoo wa parent stock na ukienda kuwachanganya na kuku wako basi kuku wako watakuwa na uwezo mkubwa wa uzalishaji hivyo wanaliepuka hilo kwa sana maana wataua biashara yao.
Hivyo hao parent stock wakizeeka majogoo yote huchinjwa na hapo hufuatiwa na matetea ya parent stock baada ya siku 7~10 maana kwa siku hizo mayai yote ambayo ni fertilized yanakuwa hayapo tena.
Swali la pili, Makampuni tajwa hapo juu hayana second generarion bali wana 1st generation ambao ndio wanawauzia nyie ili nyie mkapate nyama au mayai pakee na sio kupata mayai na kuyapeleka hatchery kwa ajili ya utotoleshaji hivyo kuishia kupata second generation ambayo kwa performance inakuwa iko chini mno...
Kwa mfano. vifaranga wa 1st generation wa kuroiler na sasso wanaweza kukupa mayai 250 kwa mwaka lakni hao wa second generation wataishia kukupa mayai kati ya 80 mpaka 100 ambapo iko chini mno...
Na kwa upande wa nyama 1st generation anaweza kukupa kilo 1.8~ 2.2 za nyama kwa siku 56 tu wakati 2nd generation wanuwezo wa kukupa kilo 0.5~0.7 za nyama kwa siku tajwa hapo juu...
Siri kubwa ya kuku hawa ni kuwa kadli kizazi kinavyoshuka zaidi ndivyo performance iko chini mno...
Leo ningependa kuzungumzia Hii biashara ya kuku inayofanywa na baadhi ya wafugaji ambao mwisho wa siku wanazalisha vifaranga na kuwauzia wajasiliamali wengine...
Somo hili ni mahususi kwa wale wajasiliamali ambao wanakimbilia kununua vifaranga kwa watu hapa na walenga wale wanaofuga Kuroiler ama Sasso...
Kwa ufupi ni kwamba mmachezewa mchezo mchafu na baadhi ya wafugaji kwa kuwauzia vifaranga ambao ni kizazi cha pili ama tatu ambapo kuku hao perforamance yao iko chini mno tofouti na mnavyoaminishwa na hao wafugaji, mbaya zaidi wameenda mbali sana kuwauzia kwa gharama ya juu zaidi ambapo kihali inakuwa si sawa.
Labda nigusie kidogo hapa, Hawa kuku wazazi wa either Layers, Broiler ama Kuroiler/Sasso ni gharama sana kuwaingiza hapa nchini na pia uleaji wake unahitaji umakini mkubwa sana tofouti na hawa kuku wetu wa kawaida. Kwa makadrio tu kifaranga kimoja cha parent stock mpaka kuingia nchini kitakugharimu kati ya USD 15~20 hivyo ni ngumu kwa mtu wa kawaida kumudu gharama yake hivyo kupelekea makampuni makubwa kama silverlands, interchicks na mkuza chicks kuwa na kuku hao.
Baada ya kulelewa vyema kuku hao wazazi hutaga mayai na kupelekwa hatchery ambapo mayai ya broiler yatoa vifaranga vya kuku wa nyama ambavyo mtauziwa kwa lengo la kutoa nyama tu, mayai ya kuku wa mayai yatatoa kuku wa mayai kwa ajili ya mayai tu na mayai ya kuroiler/sasso vifaranga ambao watatumika kama kuku wa nyama au kwa ajili ya mayai pekee.
Sasa baadhi ya wafugaji hutumia mwanya huu kuwakuza hao kuku chotara na kupata mayai yao ambapo huyapeleka hatchery kutotoleshwa na kupata kizazi cha pili (2nd generation) na wao pia kuwauzia wafugaji wengine. Labda niwaambie tu hapa ndio huwa mnaibiwa maana performance ya kuku hao itakuwa chini sana kwa maana kwamba kuanzia utagaji, ukuaji utakuwa chini na pia kuku hawa hawatokaukiwa na magonjwa maana kinga yao ya mwili iko chini mno.
Mwisho: Kwa wafugaji ambao wangependa kuingia katika industry hii ningependa kuwataadharisha muache mara moja kununua vifaranga kwa wafugaji wa nyumbani maana mnatapeliwa mchana kweupe kwa kununua kuku ambao hawatokupa matokeo mazuri.
Kwa maana hiyo ningependa mnunue kuku hao katika makampuni makubwa ambayo yana Kuku wazazi (parent stock) mtapata matokeo mazuri tofouti na hao wa mtaani.
Maelezo yote nimefupisha katika mchoro hapo chini.
Kama kuna sehemu hujaelewa na utahitaji maelezo zaidi weka swali lako hapo nami nitakujibu.
Ahsante kwa swali zuri. Iko hivi hayo makumpuni makubwa wao huwa ndio wenye parent stock na hawawezi kukuuzia na ilitokea wanakuuzia basi huwa ni kwa kukuuzia kama nyama na si vinginevyo wanafanya hivyo kwa sababu ya kwamba ukipata huyo jogoo wa parent stock na ukienda kuwachanganya na kuku wako basi kuku wako watakuwa na uwezo mkubwa wa uzalishaji hivyo wanaliepuka hilo kwa sana maana wataua biashara yao.
Hivyo hao parent stock wakizeeka majogoo yote huchinjwa na hapo hufuatiwa na matetea ya parent stock baada ya siku 7~10 maana kwa siku hizo mayai yote ambayo ni fertilized yanakuwa hayapo tena.
Swali la pili, Makampuni tajwa hapo juu hayana second generarion bali wana 1st generation ambao ndio wanawauzia nyie ili nyie mkapate nyama au mayai pakee na sio kupata mayai na kuyapeleka hatchery kwa ajili ya utotoleshaji hivyo kuishia kupata second generation ambayo kwa performance inakuwa iko chini mno...
Kwa mfano. vifaranga wa 1st generation wa kuroiler na sasso wanaweza kukupa mayai 250 kwa mwaka lakni hao wa second generation wataishia kukupa mayai kati ya 80 mpaka 100 ambapo iko chini mno...
Na kwa upande wa nyama 1st generation anaweza kukupa kilo 1.8~ 2.2 za nyama kwa siku 56 tu wakati 2nd generation wanuwezo wa kukupa kilo 0.5~0.7 za nyama kwa siku tajwa hapo juu...
Siri kubwa ya kuku hawa ni kuwa kadli kizazi kinavyoshuka zaidi ndivyo performance iko chini mno...
Hiki ulichoandika hapa nimekithibitisha SUA!!
Nilienda tu kujifunza kuhusu kuku!
MIONGONI MWA NILIYOSIKIA NI HILI ULILOANDIKA HAPA!!
exact the same!!
Mpk nikakumbuka hii thread!!
Asante kwa somo zuri sana. Nina swali moja. Nikichukua hao chotara F1 kutoka kwa makampuni uliyotaja, alafu nikawakuza. Wakiwa wakubwa nikatenga jogoo mzuri kuliko wote nikamweka kwa kuku wangu wa kienyeji pure. Then hao chotara nikawauza wote. Abaki huyo jogoo awashughulikie tetea wangu wa kienyeji, si nitakuwa nimefanikiwa kuboresha kuku wangu wa kienyeji? Maana lengo langu nataka kuku wa kienyeji ila ambao watakuwa na miili mizuri
Kufuga kuku wa kienyeji ni kurudi nyuma zaidi.
Cha msingi ni kupata kuku chotara kwa watu sahihi .
naomba unambie ni kampuni ipi nitapata kuku chotara f1 kiurahisi kwa darSua was my Home of excellence, niko katika hii industry ya kuku kwa muda nimeona jinsi wazee na wamama wastaafu wanavyopigwa hela na wahuni hapa jijini...
Nimeleta huu uzi atleast waweze kuwa wadadisi na waepuke kuingizwa mjini maana unakuta mfugaji anatumia fedha nyingi mno katika matunzo halafu mwisho wa siku uzalishaji unakuwa chini...
Hapa ndipo ilipofikia mpaka industry ya kuku ikaonekana ya kitapeli...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa dar, vifaranga wa interchick wako vizuri pia wale wa AKM Glitters wako vizuri...Ba
naomba unambie ni kampuni ipi nitapata kuku chotara f1 kiurahisi kwa dar
yani nimejifunza kitu cha tofauti sana!
SANA SANA! ambacho dah!
sidhani kama watu wanajua hii information gap inavowaumiza!
NILIKUWA NIMESHAWEKA ORDER YA VIFARANGA KWA MTU!
mbona nimeshahairisha , nimejisubmit Silverlands , acha nisubiri hata miezi sita!
NTAFUGA TU, UFUGAJI WENYE TIJA THOUGH!