TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari JF!
Kwa wale ambao ni waalimu na tuliowahi kuwa walimu tunajua nini kitatokea pindi mashule yatakapofunguliwa.
Wajanja wanatambua vile mithiani itakapotawaliwa na maswali ya Corona. Kwa sisi tuliobobea kwny science hivi ndio vigongo vya maswali tutakayotunga kwny mithiani kama bado tungekuwa tunafundisha mpaka leo.
1. Define Sanitizer
2. What are chemical composition of sanitizer?
3. What do you understand by COVID 19?
4. What is a meaning of quarantine?
5. Define the term social distance
6. What does term isolation means referred to COVID 19?
Kama wewe mwalimu ebu tiririka hapo majibu yake au maswali mengine possible yanayohusiana na somo unalofundisha?