Wakuu,
Nilikuwa nilipitia post ya Museveni akiwa anampongeza Samia kwa kushinda Urais na kupitia hiyo post nimeona Watanzania wametuma salamu mbili tatu hapo
Uzuri wa Watanzania siku hizi wanafuatilia vitu na wanajua what they are talking about.
Ni aibu sana kwa nchi ambayo ilikuwa ni kitovu cha demokrasia Afrika miaka ya nyuma sasa hivi ina ushirika mkubwa na nchi ambayo inasifika kwa udikteta na kukandamiza utawala wa sheria
Nilitegemea tungekumbatiana na nchi ambazo zimepiga hatua zaidi kwenye masuala ya utawala wa sheria na demokrasia lakini its very sad kuona "shoga" yetu amekuwa Dikteta Museveni
Tunapoelekea ni kubaya sana. Axis of Evil
View attachment 3497405View attachment 3497406View attachment 3497407