chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Waganga wa kienyeji ni watu wenye mchango mkubwa upande wa pili ndani ya ulimwengu.
Hapa kuna watu povu na maneno ya kejeli yata watoka kwa sababu hizi:
*Wengi wanawatumia kwa ajili ya mabaya!
*Wengi ni walonzi ,wanga na wachawi.
*Wengi humu mtaki kujionesha kuogopa kuwa mnatatua matatizo yenu kipitia kwao.
Tuje kwenye mada ya hawa waganga wa kienyeji. Waganga wa kienyeji zamani walikuwa tofauti sana ukifananisha na wasasa ambao ndio wimbi kubwa la wapenda pesa.
Waganga wa zamani wakikuagua kwa maitaji madogo ya kununua vifaa na kusimamia ila posho yake au shukrani utampa ukija kuona mafanikio. Ndio maana walikuwa wanafanya kazi na kuogopeka kwa matibabu yao.
Waganga leo:
Mganga waleo pesa yako ndio msaada wako na hii upelekea hata kurubuniwa na wachawi,mbaya wako na matatizo kujirudia.
Kwa nini namaanisha hilo!
Mganga mpenda pesa hata kama umerogwa na mchawi na anaweza kukuagua basi mchawi akijua anarudi kwa mganga na kupanda dau ndio maana unasikia mtu ana lalamika kila anapoenda mambo haya tatuliki.
Mganga mpenda pesa siku zote anatibu nusu ili kesho urudi au kukutibu kwa kutegeshea urudi na kufanya kila siku urudi.
mganga mpenda pesa uchukua nyota za watu na majini uliokuwa nao mfano majini ya pesa,uongozi au mazuri na kuuzia watu.
Mganga mpenda pesa ni mchonganishi sana wa rarmi.
Mganga mpenda pesa anaweza kukutibia wewe na akaja mbaya wako kuja kukualibia bila wewe kufahamu kaja kwa huyo mganga na mganga hakapokea pesa kwa mbaya wako kuvunja tena tiba yako.
Haya ni mafupi ila nawafungua tu