Kwani kwann inakuwa hvyo eti wanadada tuambieni? au ndio ile dhana wanaume wanapenda kungonoka? au ndio anaogopa kuzeeshwa kama wanavyo dai wadada weng? yani sijapata picha anafikiria nn na kwann alitaka kuolewa
Lakin mbona cc wanaume tunafanya kazi ngumu tena unatoka asubuh unarud 12 jion ukipiga panadol 2 unabanjuka kama kawa ila wanadada ndio mnajijua zaid mi cjawah kukutana na style hii ndio maana nimejiuliza sana
Kwani kwann inakuwa hvyo eti wanadada tuambieni? au ndio ile dhana wanaume wanapenda kungonoka? au ndio anaogopa kuzeeshwa kama wanavyo dai wadada weng? yani sijapata picha anafikiria nn na kwann alitaka kuolewa
<br />Lol hapa naomba nikutanie Chavka...............kwenu nyie hii ni njia mojawapo ya kurelease tension, na uchovu wakati kwa wadada sehemu ni starehe na sehemu bado ni kazi LOL we fikiria kuchezeshewa kiuno hadi uridhike, kupaishwa hadi uridhike unafikiri mchezo?!! mara nyingi kwenu si lazima kuonyeshe machejo.....hahahahah<br />
<br />
(Jamani hii post ni ya kuondoa stress za wiki msijenibana kwa maswali.......Sina majibu)
<br />kwanini unamtazama mdada tu ilhali kuna uwezekano mkubwa wa huyo mume wake kuwa chanzo cha hiyo tabia? BTW, tabia zinatofautiana kati ya mtu na mtu na huweza kubadilika kutokana na sababu tofauti tofauti kama vile kuchokana/kuchoshwa na vijitabia fulani vya mwenzi wako, emotinal destructions ikiwemo stress & misunderstandings, na vitu vingine vingi. Ili kuyasolve haya its better kukalishana chini na kuelezana ukweli, mnaombana radhi then mnadelete machafu yote na kumaliza tofauti zenu na sio kuyapeleka vijiweni ambako hakuna msaada wowote zaidi ya kuambulia umbea tu!!
Kipipi nimelitazama hivyo kwa wadada coz jamaa ndio alikuwa anaunguruma na bint hakutoa lazaidi. huenda ka2mia busara au ndio ukwel uliopo. duh dunian kunamambo kweli