environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
Wakati mapenzi yamehamishiwa kwenye makaratasi yanayoitwa cheti cha ndoa, inafika wakati mapezi yanaisha linabakia karatasi sasa kama unategemea karatasi lirudishe mapenzi mioyo yenu unafikiri itakuwa wapi. Naamini wanyama wana busara kuliko binadamu maana ulimwengu wa makaratasi wameuweka kando maisha yao yote.binadamu tulivyojitesa na makaratasi kuazia pesa mpaka hati za ardhi na nyumba, vitambulisho, akili zetu tunazoziamini zinatugharimu.