bmbalamwezi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 788
- 195
Ndugu Mtanzania mwenzangu kumekuwepo na maoni tofauti katika JF na vyombo vingine vya habari kuanzia print na electronic kuhusu suala la kusogeza mbele kuara ya maoni. Binafsi naona NEC imekidhi matakwa ya walio wengi hasa wale ambao walikuwa hawajapata muda wa kuisoma katiba inayopendekezwa. Pia kwa upande wao nao wamepata muda wa kukamilisha zoezi la kuandikisha wapiga kura kwenye mfumo wa BVR. Lakini uwanja ni wenu leteni hoja zenye nguvu. Nawasilisha.