bmbalamwezi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 788
- 195
Ndugu Apple au Orange jibu hoja sio hicho ulichokisema. Sisi tunaitaka na tutaipigia kura ya Ndiyo haya sema jingine.:rockon:Hata wakisogeza mbele HTUITAKI mukapige na wake zenu. H A T U I T A K I.
Ndugu Apple au Orange jibu hoja sio hicho ulichokisema. Sisi tunaitaka na tutaipigia kura ya Ndiyo haya sema jingine.:rockon:
soki unaonekana hata kuisoma hiyo katiba hujaisoma afu unasema huitaki, isome kwanza na uieleweWee bmbalamwezi umeshaharibu uzi wako mwenyewe!
Tuisome katiba inayopendekezwa kwanza Ndio tuongee humu jf,alaf hili la kusogezwa mbele kwa kura ya maoni naona ni jambo jema tu kwa kuwa linaongeza zaidi nafasi ya watanzania kujisomea katiba inayopendekezwa na hivyo kuwaongezea zaidi wananchi uelewa kuhusu katiba yaosoki unaonekana hata kuisoma hiyo katiba hujaisoma afu unasema huitaki, isome kwanza na uielewe