Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amepewa zawadi kwa kazi nzito ya kuchakachua kura
Kwenye magazeti ya leo Dr. Shein kamteua Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji Makungu kuwa mwanasheria mkuu wa Z'bar. Hivi atafanya kazi zote mbili? Au hii nafasi ya huku NEC ndio iko wazi? Ndio janja ya kuwanusuru hawa mabosi wa NEC?
Kubadilisha sura siyo mageuzi tunayoyataka.......................tunachotaka ni NEC ambayo inateuliwa na wadau wa asasi mbalimbali na wala siyo kuteuliwa na mdau mmoja tu ambaye ana masilahi mazito ya kuyachakachua matokeo aendelee kutawala isivyo halali na kinyume cha sheria...........................Kwenye magazeti ya leo Dr. Shein kamteua Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji Makungu kuwa mwanasheria mkuu wa Z'bar. Hivi atafanya kazi zote mbili? Au hii nafasi ya huku NEC ndio iko wazi? Ndio janja ya kuwanusuru hawa mabosi wa NEC?