Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Sidhani kama ni neno sahihi la kiswahili.Habari.
Nikiwa nafatilia vijana hapa waandishi wa habari ni jambo zuri kuwarithisha nyanja hii ya habari na kupata watangazaji bora huko mbele.
Kipindi kupitia UTV cha Morning Trumpet naona mtangazaji amesema neno "Kushoboka" .
Nilikuwa nauliza wataalamu wa lugha yetu ya Kiswahili neno hilo ni la lugha ya Kiswahili na lina maana gani?
Nawasilisha.
Wewe utakuwa mzee tena above 50+ na unaamini watangazaji wazee tu...lakini niamini mimi hakuna habari sasaivi inayozidi ya UTVSidhani kama ni neno sahihi la kiswahili.
Ni maneno yanayozuka, maneno ya msimu.
Watangazaji wa hiko kipindi ni vijana sana na uwezo wao mdogo sana kwenye mambo mengi.
Wanapojaribu kujadili jambo au kuuliza maswali kwa wageni waalikwa kwenye kipindi ndio utachoka.
UTV wangekua wana waandaa na kuwapa maarifa kwa watakachoenda kuuliza au kujadili.
Wanatia uvivu kuendelea kuangalia hicho kipindi.
Hivyo kutumia neno kama hilo kwao sio tatizo. Umakini zero.
Ni kweli mimi Mzee ila sio Above 50+Wewe utakuwa mzee tena above 50+ na unaamini watangazaji wazee tu...lakini niamini mimi hakuna habari sasaivi inayozidi ya UTV
1. enamored --- shoboka
tamanishwa sana, pendezwa sana, penda sana, vutiwa sana, furahishwa sana, taka
2. shobo, shoboka -- tasliti, kuwa na tasliti
3. shoboka --- konda sana
4. kurupuka, kuwa na wahaka, pupa, chachawa
5. shoboka --- taabika, shidika, dhikika, tatizika
6. shoboka, shobokea --- jidukiza kwa mtu ili kumshawishi, bemba, ^kujipendesha^ au kujinatisha; kujitakisha kwa mtu; kutafuta kupendwa kwa nguvu
7. shoboka --- project (as in throwing a projectile)
8. shoboka --- jionesha kwa maringo kuwa bora kuliko wengine (show off)
9. shoboka --- when something is turned inside out (tumbua)
10. shobokea --- nahisisha mtu (empathize)
Wewe utakuwa mzee tena above 50+ na unaamini watangazaji wazee tu...lakini niamini mimi hakuna habari sasaivi inayozidi ya UTV
Angalau yeye kaja na hoja, wewe waja na mipasho. Too pathetic!Wewe utakuwa mzee tena above 50+ na unaamini watangazaji wazee tu...lakini niamini mimi hakuna habari sasaivi inayozidi ya UTV
Sifa za lugha:Sidhani kama ni neno sahihi la kiswahili.
Ni maneno yanayozuka, maneno ya msimu.
Watangazaji wa hiko kipindi ni vijana sana na uwezo wao mdogo sana kwenye mambo mengi.
Wanapojaribu kujadili jambo au kuuliza maswali kwa wageni waalikwa kwenye kipindi ndio utachoka.
UTV wangekua wana waandaa na kuwapa maarifa kwa watakachoenda kuuliza au kujadili.
Wanatia uvivu kuendelea kuangalia hicho kipindi.
Hivyo kutumia neno kama hilo kwao sio tatizo. Umakini zero.
4na8 haswaa!1. enamored --- shoboka