Hivi neno makebo ni lugha gani?

Lilianzia hapa....

Cabbages - Kabeji - makabeji - wengine wanaita makabichi! Likakua na kuongezwa manjonjo na kufupishwa kuwa keboz, then kebo na wingi wake makebo tukatulia hapo!
Unataka kusema nini mdau?

Kwamba tulipotulia hapo unataka kuiambia kadamnasi yote hii ya JamiiForums kwamba Makebo siyo makalio makubwa kama tunavyoamini sisi bali ni Kabeji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ