AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
HahahahaMakebo ni I'd ya mtu
Sema jamaa alizingua baada ya kuingia kwenye beef na wahuni wa jamiiforum kitendo kilichopelekea I'd yake waigeuze makalio
Wahuni wenyewe ni akina Chizi Maarifa na mwenzie Eli Cohen
Daaaah sema huyo wa kwanza hapo aliekaa mbele ndio kazi zangu huwa nayafumua km hayo kule ninaponunua au basi
🍺🍻🥂🥃Salam sana bwashee , nimewaka captain Morgan Jack sparrow mwenyewe hapa😆😆😆
Sana mkuu, li captain unalewa kibingwa mno🍺🍻🥂🥃
Weekend bwashee, enjoy it to the fullest.Sana mkuu, li captain unalewa kibingwa mno
Mno mangiWeekend bwashee, enjoy it to the fullest.
Karibu kipenzi , chagua nikupe ngoma gani😆Hahah kabisa!
Ngoma tena? Turudi kwenye uzi wa watoto wa singapore kwanza😁Karibu kipenzi , chagua nikupe ngoma gani😆
Aaaaah Singapore kuna mademu wakali na jamaa yupo sahihi anavyoposti humu , ila kwa waelewa kama mimi sioni kitu , japo yupo sahihi kwa humuNgoma tena? Turudi kwenye uzi wa watoto wa singapore kwanza😁
Tutoeni ushamba basi na kina sie! Jamaa anadai huku wananuka UTI tu aiseeew🤭Aaaaah Singapore kuna mademu wakali na jamaa yupo sahihi anavyoposti humu , ila kwa waelewa kama mimi sioni kitu , japo yupo sahihi kwa humu
Akisema hivyo niite japo mwamba nakubali harakati zake 😅Tutoeni ushamba basi na kina sie! Jamaa anadai huku wananuka UTI tu aiseeew🤭
Mbona mara kibao tu anasema mademu ya kibongo ni takataka hali, ndio maana anakula za hao ladyboys😂Akisema hivyo niite japo mwamba nakubali harakati zake 😅
Bado tunanunua, acha iishe DJMbona mara kibao tu anasema mademu ya kibongo ni takataka hali, ndio maana anakula za hao ladyboys😂
Umekunywa kitu gani?Bado tunanunua, acha iishe DJ
Sijawahi kuona, mkuu 😄Mbona mara kibao tu anasema mademu ya kibongo ni takataka hali, ndio maana anakula za hao ladyboys😂
Hujafuatilia tuSijawahi kuona, mkuu 😄
Halafu huyu dogo yuko 4m1, akimaliza 4m4 nakunywa sumu ya panya