Hivi neno makebo ni lugha gani?

Mkuu uliowabahatisha hawakutoshi tu mpaka namimi niwe kundini ndio urudhike😅
Hapana Seran, sina yeyote niliyembahatisha siyo hapa JF au popote pale. Niamini—ni wewe tu niliyekufa kwako.
Sasa bebi, je DM yako itakuwa wazi leo?
 
Hapana Seran, sina yeyote niliyembahatisha siyo hapa JF au popote pale. Niamini—ni wewe tu niliyekufa kwako.
Sasa bebi, je DM yako itakuwa wazi leo?
Bebi ni nini? Unakosaje sasa? Basi utakuwa na shida mahala🤨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…