Kichwa cha habari kinajieleza, jazia na hii video; Makabila ya Wafugaji tupeni jibu; why not??
Kisiwa cha mafiaMbona zamani bullfighting ilikuwepo Zanzibar.
Ni Pemba kwa usahihi na huadhimishwa kila mwaka.Kisiwa cha mafia
Asante mheshimiwa kwa hiyo data kali na mpya.
Mkuu MGELIADI, Ni kweli upo hususan Pemba. Hii ni mwaka huu nadhani
Okay ahsante! Mi niliona YouTube wakionesha huko MafiaNi Pemba kwa usahihi na huadhimishwa kila mwaka.