Hivi Ngwair alikuwa mwana hip hop au rapper

Hivi Ngwair alikuwa mwana hip hop au rapper

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Nikisikikiza nyimbo za ngwair huwa nashindwa kuelewa kuwa alikuwa anasimamia misingi gani kati ya rap au hip hop....

Cjawai kusikia ngoma ya ngwair yenye misingi kabisa ya zile hip hop kama za kina nas, jay z and the like
 
Ngwair husimuweke kundi moja na Nas,fanya kumuweka pamoja na Drake na the late Nate Dogg.
Ovaaaaaa
 
Kipi kinakufanya uone Jay-Z na Nas wanafuata misingi ya Hip-hop, amba-cho/vyo Ngwair hakuwa navyo?
 
Swali lako halijajitosheleza, ndio maana nimeuliza. Kwa sababu nionavyo mimi, hakuna tofauti kati ya alichokuwa anakifanya Ngwair, na uliowataja.
Jay z na nas wanafanya ile hip hop conscious lkn ngwair flow zake kama kina drake na kina McCall
 
1476535674289.jpg
 
Kwaio Jay z anaimba vitu conacious? hivi umeusikiliza wimbo unaitwa keys?, no church in the wild Jay Z wa 2004 kurudi nyuma alikua anaimba vitu conscious ila ww 2004 mpaka hapa tulipo hana tofauti na ngwea...
 
Back
Top Bottom