Wadau mimi , napenda sana kufanya kazi, bank ila nasikia kuna baadhi za bank zinalipa mshahara mdogo kuliko hata wa mwalimu wa shule za serikali.Naomba kama mtu analifahamu hili anifahamishe ili wakati naomba kazi niombe kwenye bank iliyo sahii.
Kwa kuanzia nasikia lazima usote kwenye uteller then ndo kitaeleweka.
So far ata kwa level ya degree mishahara ya bank nyingi Tanzania ni midogo ndo maana vijana wanaishia kuiba kama NBC na Barclays walivyofanyiwa.
Daily unacheza na not less than 100000000 alafu kwa mwezi wanakupiga laki 3