Hakuna benki kama hiyo, rate za benki ni kwa mwaka. Hata hivyo 14% ni nyingi banki gani inakupa hiyo rate?Kuna benki inatoa riba ya asilimia 14 kwa mwezi kwa hiyo mil 100 unapata riba ya mil 14 kila mwez na mil 100 inakua iko
Nimependa mawazo yako!! Naomba unipatie mawazo zaid hasa katika fursa za kilimo na shughuli za addition value hasa katika mazao na kilimo kwa ujumla!!
NB: Bado nna mtaji mdogo unao range kwenye 500k-1mil!!
...kama umefanikiwa kuwa na m100 na hujui biashara ya kufanya wewe si mfanya biashara kiasili so acha kutafuta biashara vinginevyo hata hiyo hela utaipoteza yote. cha msingi kanunue hisa na kuuza baaas...
Mkuu njoo nikupe DAF XF mpya na trela yake kwa 75M ufanye kazi ya kutoa mizigo dar lusaka kwenda usd 8000 kurudi unarudi na copper kutoka kitwe unalipwa usd 4000 total 12000 usd times tshs 2000 exchange rate ya usd = 24milioni, kwenda na kurudi dizel lita 2000. dereva posho ni 700,000/= road tall usd 1000, total ya gharama zote ni kama 7M TO 8M kwa trip kwenda na kurudi unapata faida kati ya 12m hadi 14m. tunakusadia upate mzigo na ushauri wote