Hivi ni bora ufumaniwe na mwanafunzi wa shule au mke wa mtu?

Hivi ni bora ufumaniwe na mwanafunzi wa shule au mke wa mtu?

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,241
Reaction score
3,800
Wakuu leo sina mengi ni swali tu la msingi.

Hivi nafuu ipo wapi kati ya kufumaniwa na mwanafunzi wa shule au mke wa tu?

Uzi umeisha.
 
Swali la kijinga sana.

Siyo mke wa mtu sema "wake za watu"
 
Mwanafunzi unaenda jela miaka 30 na Mke wa mtu unauawa hapo hapo au kuliwa Tigo chagua chenye unafuu hapo.
 
1 Miaka 30 jela?
2 Kuliwa marinda na mumewe?
Bora beki 3 akigoma naleta mwengine


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hakuna chenye unafuu au kilicho bora kati ya hayo uliyoyataja kwa sababu vyote ni dhambi na vyote ni chukizo mbele za Mungu.
 
Kufumaniwa ni kufumaniwa tu uwe umefumwa na mbwa ,mbuzi ,mke wa mtu,mwanafunzi hakuna bora
 
Tatizo hapo ni kufumaniwa tu,kuhusu adhabu itategemea moyo wa aliyekufumania.
 
kama unawashwa maliwatoni tembea na mke wa mtu
 
Mke wa mtu ni bora mara mia maana kisheria unakuwa hujabaka ila mlielewana na mgoni wako akikuadhibu unaweza kumfunga ukiamua na kosa la kufumaniwa adhabu yake kisheria ni kumlipa faini mgoni wako isozidi laki tano. Ila ukifumaniwa na mwanafunzi hapo miaka 30 ni ya kufikia tu.
 
Back
Top Bottom