Hivi ni dawa kweli?

Hivi ni dawa kweli?

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
385
Reaction score
104
hello jf doctors, natumai mu wazima. Nimesikia kuwa kufanya mapenzi mara kwa mara husaidia ngozi ya mwanamke kuwa nyororo na yakuvutia and virseversa, je ni kweli wadau?
 
Hili suala ni ukweli kabisa, kila mwanamke anapofanya mapenzi kuna hormones za kike huwa zinatolewa.

Moja ya kazi za hormones za kike ni kufanya ngozi ya mwanamke kuwa nyororo.
 
Eeeee ni kweli. Ifanyie research kuanzia leo. baada ya miezi 3 utakuja kuniambia
 
Back
Top Bottom