Bi nyakomba JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 385 Reaction score 104 Jul 17, 2012 #1 hello jf doctors, natumai mu wazima. Nimesikia kuwa kufanya mapenzi mara kwa mara husaidia ngozi ya mwanamke kuwa nyororo na yakuvutia and virseversa, je ni kweli wadau?
hello jf doctors, natumai mu wazima. Nimesikia kuwa kufanya mapenzi mara kwa mara husaidia ngozi ya mwanamke kuwa nyororo na yakuvutia and virseversa, je ni kweli wadau?
samstevie JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 202 Reaction score 31 Jul 17, 2012 #2 Samahani nikuulize swali "umeolewa"?
Bi nyakomba JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 385 Reaction score 104 Jul 17, 2012 Thread starter #3 samstevie said: Samahani nikuulize swali "umeolewa"? Click to expand... Hapana mbaado
Mahmetkid JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 732 Reaction score 443 Jul 17, 2012 #4 Hili suala ni ukweli kabisa, kila mwanamke anapofanya mapenzi kuna hormones za kike huwa zinatolewa. Moja ya kazi za hormones za kike ni kufanya ngozi ya mwanamke kuwa nyororo.
Hili suala ni ukweli kabisa, kila mwanamke anapofanya mapenzi kuna hormones za kike huwa zinatolewa. Moja ya kazi za hormones za kike ni kufanya ngozi ya mwanamke kuwa nyororo.
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,118 Reaction score 1,875 Jul 17, 2012 #5 Eeeee ni kweli. Ifanyie research kuanzia leo. baada ya miezi 3 utakuja kuniambia