Hivi ni halali Simba kufurahia kipigo cha leo?

Hivi ni halali Simba kufurahia kipigo cha leo?

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Baada ya simba kupata gori moja na mpira kuisha mashabiki wa Simba walifurah sana swali hv Nkana wanawaaonaje kwamba itakuwa rahsi kuwafunga mechi ya marudiano
 
watu hafurahii kipigo watu wanafurah kupata gor la ugenini just kutafuta one gor wakija dar....tofaut na ingekuwa 2 ina mana simba atafute gor 3 au 2 ili iwe sare mkuu
Naona mashabiki wengi wanaona kazi imeishia pale Simba naona bado kuna kazi ya kufanya msibwetweke kwenye mpira lolote linatokea Nkana si wabaya kiivyo
 
nkana ni wazur ila pia kama ulichek game wametumia uwanja wao wa home vizur mana wali wafanya simba kuwa wagen kweli...kwa hilo walistahil pongez
 
Nadhani mtoa post ukiondoa ushabiki kidogo na uka base kwenye ukweli kutokana na sheria na kanuni za goli la ugenini. Bila kujali matokeo ya mechi ijayo yatakua vipi,lakini kwa hiki walichokipata leo ni kikubwa mno kwa washabiki wa simba kufurahia.lilikua ni goal muhimu sana
 
watu hafurahii kipigo watu wanafurah kupata gor la ugenini just kutafuta one gor wakija dar....tofaut na ingekuwa 2 ina mana simba atafute gor 3 au 2 ili iwe sare mkuu
in case mnakula 2 tena, maana tusichululie iiivyo,kiufupi bado kazi ipo.
 
Lile goli la ugenini limeipunguzia mzigo wa magoli mawili simba, tactically wana msimbazi tulikuwa tumezidiwa angles zote, sijakuelewa mtoa mada, ulitaka tusikitike vipi kupata goli la ugenini kwenye mechi ambayo tulizidiwa na tulikuwa tunapambana kutafuta ahueni. Mbona tulisikitika sana tulivyotoa droo na vyura huku vyura wakifurahia ile droo. (Sababu za yanga kufurahia droo na simba ndio hizo hizo tulizozitumia kufurahia kipigo hafifu)
 
Baada ya simba kupata gori moja na mpira kuisha mashabiki wa Simba walifurah sana swali hv Nkana wanawaaonaje kwamba itakuwa rahsi kuwafunga mechi ya marudiano
Wamechanganyikiwa mkuu ,wasamehe bure
 
Baada ya simba kupata gori moja na mpira kuisha mashabiki wa Simba walifurah sana swali hv Nkana wanawaaonaje kwamba itakuwa rahsi kuwafunga mechi ya marudiano
Kama mitishamba inafanyakazi kwenye mpira basi Simba wafanye hivyo, bila kupepesa maneno Siioni simba ikipata sare pale Taifa kwenye uwanja mzuri na mkubwa kama ule. Tuombe Mungu simba wasipigwe 3 au 4. Ila katika hali ya kawaida kabisa bila ushabiki Simba atafungwa.
 
Nadhani mtoa post ukiondoa ushabiki kidogo na uka base kwenye ukweli kutokana na sheria na kanuni za goli la ugenini. Bila kujali matokeo ya mechi ijayo yatakua vipi,lakini kwa hiki walichokipata leo ni kikubwa mno kwa washabiki wa simba kufurahia.lilikua ni goal muhimu sana
Lugha ya kuwapiga kama Mbabane imepotea ghafla. Nkana hawawezi kutoka kwa Mchina bila goli.
 
Back
Top Bottom