Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Habari za weekend wakuu, i hope mu wazima wa afya.
Kama heading inavyosomeka, ni ipi hasa sababu ya msingi zaidi ya watu waliojipata kiuchumi kuachana???
Japo hata wale ambao bado hawapo vizuri kiuchumi huachana ila si kwa ukubwa kama ilivyo kwa waliojipata.
Watu wanaweza kuanza maisha wakiwa hawana chochote kile na wakaishi vizuri tu, tena kwa upendo na mshikamano wa hali ya juu kabisa.
Ila tatizo huanza pale mambo yanapokaa sawa, migogoro, usaliti, chuki na tamaa huchukua nafasi.
Mwisho wa yote talaka ndio huchukua nafasi.
Tunarudi kwenye swali la msingi ni ipi hasa sababu ya watu kuachana wakiwa vizuri kiuchumi????