Hivi ni ipi sababu ya msingi inayopelekea watu waliojipata kiuchumi kuachana???

Mwanaume ukiwa masikini sio rahisi kupata mwanamke unayemuhitaji. Utajiri na umaarufu unampa mtu hasa mwanaume machaguo mengi zaidi.
 
Kwakua "wanejipata" Inatakiwa mmoja ndio " Ajipate"
 
Pia ni vyema kufahamu kwa asili mwanaume ni kiumbe wa mitaala/polygamous, ustaarabu wa dini ya Kikristo ndio umekuja kuweka monogamous.
 
Ndio maana huwa nasema tuacha kutongoza maskini au job seeker,
Au kuomba Mungu tu kupata aliyeko real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…