Hivi ni jukwaa gani humu JF hujawahi kuingia tangu uzaliwe?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Hivi wewe ni jukwaa gani humu JF hujawaihi kuingia tangu uzaliwe yaani ukiliona unaliogopa sana au hupendezwi nalo.

Mimi mwenzenu Jukwaa la Lugha na Siasa
 
Mie sijawahi kabisa kutembelea jukwaa la WAKUBWA

 
jukwaa la wakubwa,na sitegemei kuingia huko.
 
technology na nini sijui mwe!hata jina silijui vizuri!
 
...huku chit chat napitaga mara 1 1 sana, mimi ni siasa, picha, intelligence, teknolojia na joke. kule "siasa" nakutana na kina M.m mwanakijiji, Malemo, Nape, Dr wa ukweli, Zito nk. Kule inteliigence ni dasasa tosha. Jf photo hapo yupo Mbuzi Mzee na Mzizi Mkavu hawa mabwana salute kweli kweli kwa mipicha wanayotuwekea hapa. Kule technologia nako kuna darasa. Joke kama kawa,kicheko na kina Boflo.
 
hivi wewe ni jukwaa gani humu jf hujawah kuingia tangu uzaliwe.yaani ukiliona unaliogopa sana,au hupendezwi nalo mi mwenzenu jukwaa la lugha na siasa

hili linajiita kwa jina la je saccos peke yake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…