Hivi ni kampuni gani imepewa haki ya kurusha mashindano ya CAF?

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Naomba kujua ni kampuni ipi iliyo uziwa haki ya kuonesha ligi ya mabigwa mbona ubora wake uko chini mno aisee?

Yaani ligi ya mabigwa utadhani unaangalia ndondo? dah ila Afrika sijui tutakuja kubadilika lini.
 
Afrika ni pasua kichwa yaani sijui nani aliye turoga.
 
Ni Aibu Dstv hawajapewa dili ingekua HD, Africa kuendelea sio leo kila vitu vimekaa kimchongo.
Unachopaswa kuelewa ni kwamba hizo mechi nyingiunazoona DSTV na wao wanauziwa na BT SPORTS,SKY SPORTS N.K. Angalia mechi za ligi ya Ghana na Zambia kupitia DSTV ndo utaona ubora wao halisi
 
Azam hata uwanja wa taifa hua unaonekana mbovu. Leo nimeangalia kupitia star sports life kupitia startime ubora mzuri .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…